keg

kenyans are avery funny lot…mtu hana pesa na anakimbilia kukunywa beer…so they go to bars to ‘lamba’ two beers and stare at other kenyans having a good time with those eyes of nkt nkt!!..hence my subject

keg is a very nice drink…i can afford anything i wanted to drink but ever since i first tasted this drink sjai acha kuikunywa…sjai elewa mbona watu wanakunywa cham na wanawacha keg…kev ni kama tu malt ama balozi…
why cant kenyans just embrace it as a national drink now that serikal wameweka excise kwa beer …ama mnaonaje wasee…only downside is the stench

LIES IN BOLD

1 Like

Kuna drinks nyingi lakini pombe aaaaaaapana

wewe ni mtu ya fanta na yuice?

1 Like

kuna siku nilikunywa keg na guiness then nikatop up na kc, sema ku chew

deputy county commissioner aki-blackout yule askari wa nyamira aliangusha G3 atatiwa nidhamu na nani?

1 Like

niki blackout kina pamba na bjurman wananibeba hadi home, wakiblackout ninawafuta

6 Likes

BOSS WACHA KUTUPIMA AKILI EARLY 2000 NILIKUWA NAPENDA KEG BUT SHIDAAAAAAAAAAA YA KEG NI MOJA , UNAKUNYWA 2 LITRES UNALEWA MAXIMUM 2HRS SASA UTAKUNYWA LITER NGAPI ULEWE MPAKA CHEE SI BLADDER ITAPASUKA

I am used to drinking beer from a bottle or a can so kitu in a serviwa na jug inakaa odd kwangu.

Kumbe wewe ni OCPD/OCS

mimi ni DO hun

1 Like

clearly nyengese hujai enda brew bistro ukapewa some of the most tasteless beers/kegs av ever tasted and at what price 1500 a jug
hii yetu kawaita ni 50 tu

ankoo jaribu keg ya sai utafyatuka

1 Like

our time keg was 15 & 33 :wink:
jug ata sisemi :rolleyes::rolleyes: 200 bob, you start singing on your way home :D:D:D:D

2 Likes

team makali

Vile jefari amesema.

Mbona watu wa Keg hawaongelei kusweat? Msee unaamka ukidhani mvua imenyesha kwa bed, or worse unaeza fikiri unaamka kutoka kwa ditch.

1 Like

BUT keg is a no to me hata kama ni broke

those were the days, ata hukua unaskia uchungu ukitupa round kwa meza…but since ile time gava ikaweka tax juu i said bye bye…

Nilikuwa na kunywa keg wakati ilikuwa 33 bob ubaya yake nikufanya mtu anuke kama matako haijaoshwa siku mbili.