Kuna watu watakula mishale na marungu kesho
Ambia polisi.
kwa nini na mimi sitakuwa hapo?
Kama Mkenya Mzalendo wanyaks.
hii ni ile ya Narok? @kiLo- unaona haya maneno? Ile story tulikua tunaongea sijui kama utulie kwanza huko kuna kelele kidogo
You saved my hide there, bro @Ice_Cube. Ninekua ka pin cushion kwa hizo mishale.
mimi ni honorary maasai,nitakuwa huko kama ole wakanyama
Baaaas! Mission sasa itakua kutafuta factory yaku-assemble half Maasai kids
I will be doing the head hunting for suitable lasses, wakanyama will do the sedation halafu the manufacture tunajua ni nani, lakini we step in na wakanyama here and there kukilemewa:D
Shida siyo wamaasai ni wakikuyu,wanataka twende wapi?
ukienda kona baridi jaribu kuwa mkarimu ,wamaasai hawapendi watu wachoyo kama okuyu
Niliwasmbia niwauzie land mkanyeta
msaliti niaje?
Drone yenye iliamka Sidney Aus, heading to Yemen, imepigishwa kona. Narok wataona arrows zinalipuka
NILIWAAMBIA WAMAASAI WANATAKA SHAMBA ZAO HAMUKUSKIA
![]()
:D:D:D:D:D Hemoglobin laughs ka za dakitari
huko lazima tuwe wakarimu hii mambo itulie
Hii Kedong ranch iko santa fe?
Sio hemoglobin. Chlorophyll. ![]()
utheri wa lari.