The first caution nawapea ni kutoharibiliana siku, yes it can be risky. Very because nimeekwa lecture ya hasira 40mins with a cocked G3.
Bizch was drunk and I told him off nmeajiriwa na gava kama yye on Merit (something his whole village can’t beat) na yye ni meno ilihesabiwa tu (32) which i have, akunje ngumi nimvunje pia. The fool went for uniform and gun. Kila mtu alinyamza anategea akili imwagike.
I agree, my shemeji back in 2004 nikiwa form four alikuwa ananisho venye kama nataka kuwa pilot naweza fanya. Nijoin air force alafu niwe trained kama pilot. Ilikuwa idea fiti but the person yule alikuwa atu organize akaanguka na ndege marsabit in 2005 kama naweza kumbuka fiti.