Kama ushawai default, hekaya zikwom. :D:D
KC b card fucked my Finances,
You will be blacklisted for 60 months. After paying the loan
Nishawai rushwa CRB na NCBA after kulipa walinipigia nichukue ingine next day… KCB wajidinye maumbwa.
Ilikuwa mnamo 2019 ata sikujua nimedefault nikaona message
Your kcb mpesa loan limit has been increased to 40k(ilikuwa 20k) pay your overdue loan(by 2 days) to borrow again.
That was great news uhuruto walikuwa wametufilisisha kabisa so I borrowed some fella 10k nilipe kisha nikope nimrudishie.
Hiyo ilikuwa MAKOSSSSSA juu after paying limit ilirudi 0.00
Hizi memes za watu hawana degree mnatoanga wapi?:D:D:D
Hao maumbwa walianua limit yangu ya 19k kwa one of my lines after kuwalipa na pesa nilikuwa ninunulie cement for an ongoing project na hivyo ndivyo nilidefault 39k kwa line ingine. Hakuna vile nilikuwa nawapea biashara na asante yao inakuwa teke ya punda. Sijawahi walipa mpaka wa Leo. Walipiga simu wakachoka wakaniweka CRB where I still live. Loan utanyimwa kama huna cash flow not because uko CRB.
Mimi NCBA wamelipea unsecured loan ya 27 sausand na lipa na miaka tatu wanakataa 997. Interest 17%. Siku hizi kcb Mpesa text me wameincrease loan limit. Siwezi guza wajitombe na hizo peni zao za mwezi moja.
unafungua account huko alafu nini ndio u~qualify io non secured?
Hii nimeisoma na accent ya Dj Afro.
:D:D there are some people who survive this way - myself at some point. Unakopa pesa ulipe fuliza/mshwari, ukope ulipe deni, tena ukope…cycle continuous. Ni kitu mbaya sana - you do ‘maths’ for a whole year unaona crazy charges. Nilijikomoa hapo.
Nowadays, I scruitinize my statements and try to reduce/avoid unnecessary charges.
Lazima ukuwe na smartphone. Deposit pesa. Transact by paying using loop account. Kuna ninja alipewa unsecured ya 800k. Nataka ni grow account nikipewa Mita mbili ni Ingie msituni huko Siberia ama Vladivostok.
I was in that situation 7 years ago. Hizo app zote na hizo loan za kulipa na mwezi nikazitoa zote. Mshwari Saa hii Niko na mwaka bila kukopa,kcb Mpesa 3 years bila kukopa. Siku hizi I live on my means.
Haha, that sucks.
[MEDIA=twitter]1490698000758411268[/MEDIA]
The easiest way kujikwamua from parasitic owners of capital is to default they do their worst. Kataa tuu kulipa wakuqeke CRB then uanze kuwalipa thao thao mpaka vile utamalizana nao. Else utashinda kwa vicious circle.
Happiest days ni ile siku unapata message 60% discount unalipa faster.
Downsides ni kulenga strange phone numbers vile kabambe haina truecaller.
Simu chukua tuu. Akikuuliza unampea a vague promise to pay next week. Akianza nyefnyef unakata simu. Saa kama saa hii yenye kuna maandamano wakikupigia unawambia “uchumi mbaya hata sii mnaona wakenya wanaandamana serikali ifanye jambo. Nitarusha kitu end month”.