KBS: When Kanairo Life Was Real!

image
Kwanza hii number 34 Jkia na Otiende na 46 Huruma na kawangware na 23 westlands, Wanginge na Kinoo. Not forgetting no. 42 ya Ngumo and Kibera Laini saba… 102 ya Ngong… 101 ya Mwimuto. No. 8 ya Kibera and Ayany… na no. 87 ya show ground wakati ya show?Aki hizi mabasi. Na basi zote nikama ilikuwa lazima zipitie KNH

3 Likes

Stagecoach

1 Like

Nakumbukanga moja ilikuwa so packed, I remember laughing with my friend about one guy popping his head out just to breathe

3 Likes

111 unaingia jioni ikiwa fully packed unazungusha konda huko ndani hakuna kulipa ikifika DC unashuka nduki kabla upatwe.

2 Likes

Watu wa enzi zile wanajua huyu kinyozi wa stima

3 Likes

Nilienda Moshi, Tanzania nikapata Bado wanaishi hivi.

1 Like

Hii kinyozi ilifanya nipigwe ngeta banae.Had bought some stuff in gikosh and decided to walk to burma to stage to take a mat home.From gikosh ukishavuka bridge the other side of the road opposite kamkunji ground there was a kinyozi wa stima with this machine.Kumbe kuna mabudaa walikua wananifwata from gikosh nikawapotelea but wakanispot nikonyolewa.Nilimaliza kunyolewa nikalipa jamaa mbaula nikaanza kupanda ka mlima.Hata kabla nifika hio shoppi yenye ilikua na bayesa ya wajaka inaitwa hole in the wall nilikua nimetolewa dagger nikaambiwa leta hio bag takataka hii.Walichukua bag na 220 nguyaz ikabidi nichape kalesa hadi home.

5 Likes

wewe pia ni wa enzi :grin: Nimenyolewa hapo mara kadhaa

2 Likes

237 Thika kwanza double decker

Jabadeyo

1 Like