Birrioneas simsukumie watu kazi tufuraigi kama nyinyi… It’s all fun here and it’s appreciated. Would appreciate more kama Talkers wanaeza tusukumiaga na kutuconnect sisi maNV kazi. Mbarikiwe in advance. B.A Development Studies with IT ndo yangu. Lakini naeza fanya any, company, non profit ama public.
TiA
@rollout @Quanstrom @denis young @m2 random
Mimi sio birrionea. Nitoe uweke akina Field Marshall hapo na masponsors
Sasa development science ni nini? What are you developing? Tena ulipata grade gani na ni ya matiangi ama kaimenyi.
Development Studies. 2nd Class Upper… More of Social Development. B+ ya Saitoti. Sukuma job mkubwa
[ATTACH=full]150644[/ATTACH]
Jaribu hapa the first position i.e CASE PROCESSING ASSISTANT.
alafu unitumie kasupper ama lunch ukifanikiwa.To all the talkers who will apply to.