Wanasema kutembea kwingi ni kuona mengi. Nimetembea na nimeona ukosefu wa kazi tu. Sijawai ona kazi ama sijatembea zaidi???
explain 20mrks!
Hahaaaa…kwa ivo wewe hukusumbuka kusaka job??? Eeeeh!!!