Kazi ya Cyber pia ni kazi

Niliumwa sana kusoma ati fala flani hapa amepost ati 90% of ktalkers wanaishi Roysambu na wanafanya kazi kwa cyber.Mjue kazi ni kazi.Hii kazi ya cyber imejenga nyumba hapa Nairobi na Siaya dala,na imenunua Subaru Imprezza WRX 2012 model yenye miudinyia madem zenyu saa zile mkiwapigia simu mnaambiwa ‘Aki bebz leo naumwa nakichwa siskii kutoka ntakutafta Sunday nikitoka church’

Ktalk, where everybody is a birrionaire and an alphamale driving a big 4X4 SUV. Na nimeona kadhaa wakibrowse ndani ya forward travellers!!

Dont let social media give you depression.

Live your life achana na ya watu wengine
[ATTACH=full]282092[/ATTACH]

Wacha niendelee kukoroga ngoma ndani ya mat

ukianza kumention dream jalopy yako apa sisi tuseme nini??? weka effidens basi ama iyo ni ndoto ya mchana

I am the only true birrionea in ktalk tukiwa na Wakanyama na @sani. We also have a few millionaires like @Okiya , @magreb and @langatkipro . The rest are thousaneers and Hoi polloi like our village thief @johntez addi gaza msafi

@Agwambo Shika present basi kwa hio achievement
[ATTACH=full]282096[/ATTACH]

Mbona sijakuwa tagged kwa hii thread na mi ndio resident cyber attendant wa 9k salo?

As much as kuna peasants apa but lazma tukubali kuna wazito pia…kama @magreb na @Okiya nawatambua.

:D:D:D:D:D:D:D

Mi nitakas huko laini ya fukara hohehahe…

must be one of your handles…umesahau kujitag

Makanga wa forward travellers huona vitu mingi sana

:D:D:D cheza chini.

[ATTACH=full]282107[/ATTACH]

If somebody wants to be Rambo online mwache ajibambe. It might be the only thing keeping him/her alive. Imagine kukaliwa ngumu na maisha then you can’t go online to pretend life is good? Si huyo atajirusha River Sagana apotelee?