...kazi poa sana hii

https://x.com/Joe__Bassey/status/1871618767991853437?t=HMBFzygwFLJMNCpulTgjvA&s=19

Alafu you contract a local fundi.

“Nataka kama hio hapo juu na usisahau madagascar”

“Sawa, hii nitafanya kazi mzuri hata wewe utapenda, wiki moja tu.”

Tuna negotiate na namjenga deposit achape kazi.

Results after one week, jamaa ametengeneza silhouette ya kasongo banae…

6 Likes

Hehehe

Fundi first you ask for samples kazi amefanya. Alafu akinunua strips bonoko zitawaka kimalenge. Apa lazima uende kwa wale wasee wa kukata iron sheets na laser ni kama 5 minutes kioo yako iko perfect

But pia izo bleks za sodom didnt illiminate malagasy, wamehepa job ya kudrill under it

1 Like

The luminous and ominious blue glow whose source cannot be seen is the mark of Satan. Beware of a cold light😂

3 Likes