Kazi ni kazi

2 Likes

Kuna wenye naonanga thika road hapo ngara to khoja hudirect mat sansana asubuhi na jioni kukiwa na jam unaeza pata ameshika simu kama tatu mbili anacall ingine iko kwa earphone crazy mulitasking.

Matatu pays them 50 bob to 100 bob I think

Mboka ni mboka. Auze mkia kama side hustle