Kazi mtaani

Nilikuwa idle nikaapply for that thing nikasahau juu nilijua haiwezi ingiana.

Leo napata call i was supposed to report to duty today hadi nashangaa naanzaje.

Bana 5calls zikifuatana niko wapi hadi kidogo niwaulize is someone dying mimi ni main surgeon.

Anyway hivyo tu ndio hii chance imeenda

1 Like