Kazi Ikiisha Imeisha

Acha kupea watu msomo na mehe mehe. Katafute ingine

[ATTACH=full]491888[/ATTACH]

[MEDIA=twitter]1616824395871453184[/MEDIA]

Techies are getting axed…

Microsoft ni kampuni ya mhindi, acha mguys aambie watu wake kwaheri.

There is a local startup imefurusha all its techies wakabakisha mmoja bana…sai naski wanaoutsource from sijui SA ama India