Kayole

Sa kuna hii jeshi huvaa trao hazifiki chini na hufungia shoe laces kwa ankle na huvaa Pete mingi, blings mingi na tukofia tumekunjwa hapa mbele. My brother my sister ogopa hao raiyaa…Hatari kuliko stima

Hao tunawatambua

Mauki family

1 Like

Vijana wadogo wanatembea na miguu za kuku.

1 Like

[ATTACH=full]67906[/ATTACH]

2 Likes

Hawa ni watu wa Eastlands.

Wachana na Kayole, tunataka hekaya za Mwea.

1 Like

sato usiku nikitoka gathering ya pombe huko around kamiti road slowed down behind a blue car in a deserted road it had blocked the road, kidogo tu naona mlango imefunguliwa ya passenger side na jamaa ametoka mbio… kabla nishikanishe kile kinaendelea mkono imetokea kwa dirisha pointing at the nigga and fired, sparks all over kutoka kwa gun, but ni kama zili miss that running fella, he continued running and lucky for me the crazy fellas drove off FAST they never turned to check nani ako nyuma yao. sijui kama walikua makarau ama wezi… story ya ule tax driver wa lawyer willy ili flash kwa akili yangu, wrong place wrong time

8 Likes

Mwea bado niko hunting and gathering. day 3.Wacha nimalize hekaya ianguke.

Umefaulu?

So far so good

So far so good shIda ni goons wa huku.Starehe ni zao.

1 Like

Hio ilikuwa rogue police trying to kill a mwizi they had been dealing with for a while na inaonekana mission ya mwisho mgondi aliwacheza kibaridi and they got wind of it…sasa ilikua ile design Njoro mbona ulitucheza boy,…apo ndo kijana akajua anataka kumangwa akatoka mbio

4 Likes

Gaza, mauki ni wa Githu.

2 Likes

lazima, huyo jamaa aliona lights za gari nyuma akajua hapa ndio the only chance ya kutoroka, ali take chances akidhani hatakua shot at juu ya extra company but the niggas still did. yaani hata mind haiku register registration number ya hiyo ndai. hata kama ningeshika sijui kama ningepeleka mbele, siwezi jua na deal na nani

2 Likes

waaah noma…imagine sasa walikua madingo alafu waone ati juu wewe ni witness lazima pia wakueliminate

2 Likes

na mauki inakaa wako brazen sana, that same sato nikipita hiyo rodi ya between TRM to Kahawa West nikakutana na Toyota IST ya black imekua branded kila mahali hadi kwa bumper Mauki

2 Likes

hapo ndio niliogapa sana, na host wangu alikua amenishow nilale nikalenga… after hiyo sound ya gun na sparks nilibaki nimefreeze kama three minutes hivi hata singesongesha mkono

Hao ni mafala, antics kama hizo make it very easy for mabeast to find them.

2 Likes

That’s why i still insist they were cops. Thugs don’t waste bullets hivihivi. A bullet costs alot in the black market

2 Likes

But ukweli usemwe Mauki family is not a gang group related to crime. ule Klister what was his name again? Third eye sijui Thirdman alikuwa anawaekelea tuu. Hizo mafamily ziko mob,na ni groupings ya wasee wa reggae just like kitambo kulikuwa na Umoja Renegades, Jericho Team etc.

The only family i know of that is involved in crime is GAZA ya kayole

2 Likes