Umeelewa nini?
[ATTACH=full]175550[/ATTACH]
Kijani CCM
Nyekundu CUF
Basi CUF wapo kimya kwasababu wamezibwa mdomo CCM wanapiga kelele
Ngoja nikae sawa kwanza
@Pascal Mayalla
hahaha!, huwezi kuzibwa mdomo na kiumbe kingine labda kikatishe pumzi jumla jumla…
Safi
Yumu kumbe?
Ndio!
Watashindana lakini hawatashinda
Afadhali aisee ngoja tuje huku tu sasa ila sasa zile content zote za kule JF ndo basi tena aisee,daaah!!
Uzuri huwa wanatusoma mpaka wameamua kutuziba kwa nguvu!! Badala ya kubadilika wanatumia ubabe
nafrah kuwaona humu ndugu tuliokumbwa na dhahama ya kule tanzania JF ila nimemua kuja na jina jipya maana bado hatujajua utendaji kazi wa moderators wa humu isije kuwa ni akina yuda
Dah!
Afadhali tumechoka na whatsapp na insta ila mdogo mdogo tutafika.
Kabisa
Kuzuia watu kusema hakujengi lolote kabisa… Hakuwezi kuijenga nchi wala kuwasaidia watawala
Wamekataza siasa za majukwaani lakini wao wanafanya siasa za majukwaani
Taifa la ajabu sana lile
Kumbe
Ila kama wameziweka baadhi.