Bado venue ni unknown but most likely city stadium. Unaeza check this page for updates KATS
Come watch or participate. Pia kuna bodybuilding si strongman pekee. Weights za strongman ndio hizi.
Leta mbisha ya ladies tujue kama ni worth it kuenda
@Enhe chief kuinua chuma sio talent hio ni effort na bidii.
Ni consistency na patience tu. Nilikuwa very skinny kitambo ata mtu haezi amini ni the same person