Kati ya hii mercedes na prado, heri gani?

This GL63 inatoka na 6.5m! So according to the kenyan market hii AMG mbili equals to v8 diesel moja ama 3 inabuy lx570 moja. Aje wasee??? Mi ni toyota die hard but AMG ikiingia kwa mix convo inatake a different direction entirely. But of course mkenya na ukumbafu yake ataendea tu prado for reasons only known to him. Makes zero sense. God aki nipee tu pesa priiiis. Afadhali tu nishike hii na honda fit hybrid ama nissan note kama ya @Ngimanene na matharo nikiona pesa ya mafuta sina. I think 95% of Kenyans do zero research before purchasing.

https://www.youtube.com/watch?v=hXCygalXI7A

[ATTACH=full]500104[/ATTACH]

Wacha otoyo gang itoke church utakipata. Hao wasee wanaeza buy ngotha ya juala just coz iko na logo ya Toyota.

1 Like

mtambo kamili wa AMG. That sound is fire

hapo mwisho ya video amesema hio benz ukinunua usifikirie mambo ya mafuta hata amesema ameweka v power, so kama inakunywa 5k per day tuseme unaishi kitengela in one year utakuwa umetumia 1.8 million kwa mafuta, 3 years umenunua ingine kama hio. Hio benz ni hasara heri kununa prado ikunywe 1k per day

Alehadro bandia, 2 words: Fuel economy

6.5 bob is such a good deal for this car bana If i had the money I won`t even look at prado direction…

Huku Central kuna matajiri wengi na gari za matajiri huku ni pick-up double cabin ama harrier new model Akizidi sana ndio utamuona na Prado. Na ukiona msapere ako na prado jua huyo ni mtu tajiri sana but hio ndio standard huku.
Gari kama hizi Amg zinanunuliwa mostly na wahindi. Pesa tu ndio sina otherwise wangenijua mimi ni nani.

1 Like

Umeangalia gari strictly from the perspective of fuel consumption. :D:D. But wacha nikufanyie hiyo hesabu. Research states that this car inakunywa like 17mpg which is like 7kilometres per litre but hata tuseme in the real world inakunywa 5 kmpl which is highly unlikely. Hiyo kitengela ni 30km to town so round trip maybe utatumia 2500kshs give or take tuseme tu 3k. Hujaacount for the sensations this car will give you which are worth every penny. But let me reiterate that hii hautumii kama daily driver. Unashika kadudu ya kuenda town. Btw unadhani prado kwanza ile ya petrol 2700cc yenye wakenya wanazibuy in the thousands ni economical. I would not be suprised if the same figures apply because hiyo ndai ni guzzler pia.

Eh Alehadro, umeamini kadudu ni economical

mimi hata nikuwe tajiri aje siwezi tumia 3k kwa mafuta daily

Hahaha. Yeah. But to be fair only a petrol head who is truly passionate about cars would buy this. Ata sahi nikicalculate pesa mi huspend kwa mafuta ya gari nacheka tu because it does not make sense but would I substitute sense for the happiness I get. Never.

Kadudu ni economical lakini sasa lazima accelerator ukanyage mpaka kwa mabati ndio isonge vizuri. Alafu upate climbing lane, pthoooh. I detest powerless cars.

Brathe uko na akili mzuri kweli?

3k per day na mimi hutumia 3k for 1.5week na niko na jalopy ya 1798cc.:confused::confused::confused:

If i had extra money to buy a luxury car I’d buy a Lexus…i get the comfort and reliability

Stop paying the extra rents and you will achieve that goal

sindio

Huwa mnaangalia tuh cost ya fuel na kuservice but y’all morons hamjui bei ya spares ya mercedes. Ile siku utafika pale DT Dobie ndo utajua hujui.

[ATTACH=full]500401[/ATTACH]

If you were born this stupid how did you make it into adulthood?

Jesus Christ!

Hizo air suspension hupiga watu character development sana. But unaeza ngoa hizo uweke coils.