Kasighau

What’s going on huko god mountain, mbona kuna conflicting reports? Has Mwadengu won or not?

@meriamata floods zilikuwa wapi Msa road juzi usiku…hamna hata update

Murutu is crying kumeibiwa

From Voi to Maungu, kuna that kabad stretch hapo Hua kana flood

A politician never loses…

One trend naona nominations za gavana zinaleta previously un heard off ethnic troubles. Who would have thought waluhya wa busia na wateso watakuwa at logger heads, sahii naona Taita Taveta wataveta wanazusha ati governor wao amekuwa voted out na wataita.
Kuna places hii issue tho. ita caise loss of lives, Marsabit na Tana River

Interesting times ahead

Hehehe. My kasin wananiambia Taveta walificha white. Lakini kusa tu ukweli, jamaa ameshindwa. Mwatate ndio bone of contention. Wundanyi Na Voi tuko locked

Just in
Taita Taveta ODM nominations results put on hold to allow elections this Saturday in 5 polling stations where voting did not take place.

Kuna 5 polling stations did not get voting materials sahii ati they will vote on Saturday…drama drama…kama wewe ni gavana ukule inje you will be tied up in court for the next many years on corruption allegations…no wonder the stakes are so high

The whole exercise is a sham

Bus ta Vanga ilikuwa ishabebwa juu juu bwana.

Sioni chochote Murutu alichofanya kama gavana. Wacha aende home.

Why is our politics so divisive?

All the polling stations for the nominations are in Mruttu’s backyard. What are his chances of losing with the current writing on the wall? Go figure