Kwani imeenda wapi haraka namna hiyo?
imengolewa fasta Niki type reply. but nimerudi nyuma and took screenshots (sick) I know.
ferk.
What happened?
Ni kama hardmean :D…amepuke…that was fast
[ATTACH=full]201688[/ATTACH][ATTACH=full]201687[/ATTACH]
Hukuona asubuhi hio ?
It was FAKE NEWS
@Okwonkwo mzito, nirushie ngori image inbosk
Mbona mnapenda ngory stories na images hivyo?
wewe ni karau?
nimepigiwa simu na CID KInoti aka @Ice_Cube ati niende pale HQ nitoe habari zaidi, imebidi nidelete.
Hapan cheza na vitu ngori kama hizo tena my friend. You would rather stay mute.
I saw the pics. Unyama
zipo MMNN Telegram https://t.me/meriamatanewsnetwork
Nipe link bro
Tuko nazo na full report pia.
That was not Khashoggis
Inbox priss
[MEDIA=twitter]1052567589522694145[/MEDIA]
Tell that to the US.