kashamba Limuru

Nani anataka kashamba Limuru kuja inbox nitakuuzia kamoja

mbesha ngapi, size gani. weka mbisha hapa

mbesha kidogo tu 2,500,000 slightly negotiable size 100 by 100. Mbisha ya shamba inatakanga live live ndo ujue mtu iko serious.

area gani?

apa ndeiya,10 minutes from Gikambura shopping centre.

Ndeiya inataka due diligence moja noma sana…a friend bought a plot huko years later some fellas claiming to be family members wakatolezea na kusema they didnt sanction the sale…ikabidi jamaa arudishiwe pesa ploti ikauziwa mtu mwingine.

Sio Ndeiya ni kila mahali, everytime you purchase land somewhere dont just rely on the search report ,go beyond that and talk to the chief and neighbours also obtain consent from the family members if you sense that the land might be hereditary. Lakini hii ni yangu brathe :slight_smile: