Kasarani police station

Wale watu wamekaa jiji kiasi wanajua i place…ni Kama the most rogue police officers wao hupostiwa i place…i have personal beef with them because in the day’s I had invested in Swvl this station was used and abused by matatu cartels to pipinya us makei mbaya…we always knew siku ya kukandamizwa imefika by the station starting impounding swvl mats as early as 6am (na iyo siku mats zetu zilikuwa zina sumbuliwa all day long in Nairobi)…kuna time walizishika zika jaa uko ndani and the way iyo place ni biggie… Now na i story ya DJ fatso…its clear that the fat DJ paid of the kasarani cops to cover up for him…i think even some cops coached him on what to do… the cops then took the body and took it to the mortuary as an identified young male… Kusema ukweli i stenje ifungwe ama ifanywe part of Nibs college…the issues it raises and has raised in the past just shows most cops waki postiwa uko wao hu end up feeling above the law… In fact one former boss of the station ametupwa in the cold na JSKS i wouldn’t be surprised it’s because of the things he did to him akiwa boss kasa na jambazi sugu akiwa Dp…

End of rant

Ehe, wettin dey happun in those days?

I guess it is a big eating basket for cops.
[ul]
[li]Matatus and commercial vehicles along the superhighway[/li][li]All the many pubs and clubs in Kasarani-mwiki area[/li][li]The Nigerian cons in Roysambu[/li][li]The many brothels in Roysambu[/li][li]etc[/li][/ul]

Ukimix cop station na shule ya malaya hio hapana. Results may be worse. Hio stenje ipewe recce wa Ruiru wakuwe wanaishi hapo.

He defied direct orders of the regional security team on an action, and faced the consequence of his upstart-ness. Kuna watu hii Kenya ukiwapea cheo hao huona nikama wamesalimia Mungu.

Hao makarau wa Kasa wanakuanga ghasia taka taka sana. Wakati wasee wanapigwa nyongolo, kuponwa na kupigwa dagger huko Roysa na TRM majamaa haziko hapo kusaidia watu. Kazi yao ni kukaa hapo kando ya stenje wakiona vile watadandia wasee wa uber na kuwasosi madoo bure tu. Unashindwa sasa hii ni nini? Wako hapo ku extort wasee innocent. Mtu amepewa kazi akulinda usiibiwe na mwizi kumbe yeye mwenyewe ndo mwizi anakuekea makosa ndo akuibie pesa yako kidogo umeng’ang’ana kupata.

In most cases ndo uwekwe station yoyote tao lazima ujulikane vigilance house… Na huwa wamepewa daily target ya pesa za wakubwa

afande ya waudo street, habari ya masiku?

ata malaya mzee kama kapoti anakubaliana na mimi i place ifungwe

https://www.youtube.com/watch?v=XtMrzd0brAo

What I know about that station ni iko na very big cells. I repeat, the cells are very HUGE. Nishawahi tupwa hapo time ya curfew

Useless police station.All the brainless cops hukua pale.Kazi yao ni hongo from morning to evening.Very useless human beings

Did you pick soap?

I just bought my way out within kitu 1 hour.

Gaaaay wa kasa kama heke wakue undercover

That’s a shit station. Polisi wote ni bure kabisa, hate them with passion.

Salama Wakili.