[ATTACH=full]81674[/ATTACH]
Nimerudi Job. Mzito ako works.
All the best with your day but M4 wacha kujaza Sukari kwa Mwili.
mm huwa in love na ww
@Kasighau congrats man…vumilia
Secret Agent I see a glass cutter there. Covert mission perhaps?
hizo queen cakes ukipata zikiwa fresh si unaweza maliza the whole packet, very sweet. anyway good weekend Iguana4
You beat me to it. M4 explain the glass cutter.
Ukichapa ikusde mpaka ufikishe threshold.
[ATTACH=full]81677[/ATTACH]
I can never understand how a grown ass man eats muffins…
Muffins ni queen cake?
I can never understand how a woman opens up her legs X20 in a day
Hiyo glass cutter ni ya Nini ama unauza vioo
Hehehe. Hiyo glass cutter ni ya kutrim Talons
hehehehe, hapana Muffins na Queen cake are different like Uji na busaa, tafakari haya
I swallow them like crazy. You don’t know what you are missing.
They only get this opportunity at the place of work, asubuhi mujamaa amebonda ugali na pork then kateremsha na uji ya wimbi, hiyo unaona hapo ni chaser ya breko
All the best mblo
hehehe
Tafuta job daddy achana na mimi and my hustle unless of course unataka pia!
Breakfast with no hog. It was a good day.
ayayayayayaya, madhe, nisamehe sana, sitarudia