Karibuni Katogo

Breakfast ya ajaab sana, no wonder the women here all have big back sides.

[ATTACH=full]23401[/ATTACH]

Ulikuja Kla kisha ukaingia missing.

Are you holidaying!

where is that

Minji and matoke wacha ikae

Are you gonna dine in or take away?

1 Like

Would you rather ripe bananas?

2 Likes

Lol minji na matoke nikama kukula mchele na spaghetti smh

1 Like

safi sana umenifanya ni miss matoke

Sasa hii Ni breakfast ama Ni lunch?

I miss that stuff!!! Enjoy but not too much. Uganda is an enchanting place

nikama nakujua

@mayekeke Jaribu “lwombo” hapo Shaka Zulu

1 Like

Hiyo nyama ni kidogo saana, Uchoyo mob… Ingelikuwa Katogo Yenyewe na Nyama, haaaaaa wacha tu, wapi G-Nut Sauce?

1 Like

Nilikuja kisha nikarudi kisha nikaja tena, nimepitia hapa Capital pub at Kabalagala, the ratio of prostitutes to men is appalling, 17:1

[ATTACH=full]23480[/ATTACH]

2 Likes

Hiyo area code jo ni mambo mbaya.Kuna ktalkers hujudai sana kwenye hii maneno washow wakuom tuone wakibaki vichwa tu.

Chini ya shaka zulu shuka kiasi down and turn left uingie choma zone a Kenyan pub and restaurant.Choma fresh sana.

1 Like

Its called “Kitindo Restaurant” …

1 Like

Thats my dining room on daily basis buda.

1 Like

Niliona wametoa sachets za Empire cream (amarula style) UG its a nice place, was there for 10 yrs

1 Like