Karen Nyamu evicted from her Runda home over rent arrears


7 Likes

Her shit stinks too

Living within your means is very important. Unaepuka hizi shida na aibu nyingi.

8 Likes

Hapo rent hucheza between 350- 800k a month. Tenderprenuer earnings haziwezi hio, labda ukue industry heavyweight kama james mwangi…ama ukue na red plate

8 Likes

Auze mkia for 500k per shot

10 Likes

Au ndio Samidoh alitorokea yues

6 Likes

Shida ni some careers need you to live a lifestyle that may not be of your wanting. Kama hiyo story ya some TV anchors are forbiden from taking matatus and are given specific places where to shop. Yaani hata huwezi tokea tu mtaani ukule mutura yako na amani.

Some senior bank managers forced to buy specific cars above 2000cc on loans they pay themselves. You cant go negotiating multi million co-orporate deals in a probox. And other such stories.

Saa zingine si kupenda kwao.

17 Likes

Deejay najua unasalivate kupenda huko Saudi Arabia for gigs

1 Like

Of course the bitch doesn’t pay rent

saa zingine mimi huona hizi ni jaba tuu. kani si nitatoka kwa gari niingie kea building to sign the deals. I will still look good in an affordable Corolla, Premio, CRV,

11 Likes

Si story za Jaba my friend. I know one personally who had to buy an Xtrail he really didn’t need. Si ati unalazimishwanga, but unatumiwanga hints zingine moto na your bosses unabaki tu umejijazia you need to upgrade your car kama unataka kuendelea na hiyo kazi. Im not talking about branch managers bro, hao huenda ata soko kalesa bila worries. Im talking about co-oprate managers. Watu wanashikilia portfolio za 1B+ bana. Corolla na Premio ni wewe!

@negrowegro1 gigs za uarabuni ngumu sana kupata. Alafu crowd ni 300 people max. One week kutravel and back. Acha tu tungangane na Valuvalu zetu za kila siku guranteed gig.

10 Likes

tumia akili forester wacha kunyamba nyamba kila mahali.

Xtrail ata operations manager kwa branch wacha ata branch manager mwenyewe wa kcb, coop, absa …can afford it, tena wanapewa loan ya in house na 5%, then kama ni hao unasema snr managers then wanalipwa good salaries above 300k and should afford a good car sio kuaibisha kampuni na unalipwa fiti kazi ikuwe ni sherehe 24/7

6 Likes

Si angeshika mansion pale Thika Greens Golf club …Thika Rd is smooth less than 1hr uko kanairo

5 Likes

Pia wewe Tumia akili.

Yes, they can afford it. The big question is do they really need it? Ndio maana works ikikatika huwa wanastruggle sana to keep up with the joneses using debts. Ndio depression sasa inaingia vizuri kabisa

The guy I refer to ni shiny eye who is prefers buroti maguta maguta. Flashy lifestyle is not his thing. Utampata pale bypass na probox yake fresh weekends roundi zake za usapere za nyama choma mugithi. That xtrail huakishwa Monday Asubuhi. To him that Xtrail is a waste of money but inabidi juu ya kazi. If he was to quit/get fired, that is the first thing he will dispose off mercilessly.

Comprende???

7 Likes

Bwana deejay… Juzi nimeenda kusikiza Joe Mfalme pale Quiver… Hawa jamaa ni jina tu wanauza… I agree with DJ Bash that there are so many underground deeejays better than most of these popular deejays

6 Likes

Kuna time nmepitia hapo jamii gardens mwea na huyu jamaa sijui creme de la creme alikuwa huko…mahn huyo msee alibore crowd ta ngui ata nkashindwa hii hype yote huwa ya nini. True,kuna madj underground wanaeza osha kina Joe vibaya sana.

8 Likes

Wako wengi sana very talented, shida ni njaa! Some of these upcoming deejays accept 1-2k na mzinga ya chrome asubuhi after kuskuma decks usiku mzima. Ask your resident deejay local yenu analipwa ngapi utashangaa. Njaa ni kitu mbaya sana.

WIth so many bubble gum deejays (wale wanajua tu laptop) entering the market, kufika level ya kina Joe Mfalme will be a pipe dream.

6 Likes

Companies buy cars for use by their staff, so if you see senior staff with big cars those are company cars that staff are allowed to use 24/7. Govt is different coz it doesnt allow staff to drive themselves, or use the car 24/7, you are dropped and picked from office by govt driver.

2 Likes

Very true my aunt who works with Scania was forced to dispose kadudu to buy a fuel guzzler when she became a departmental head

7 Likes

Too much redtape in applying for its use in most organisations. Sijui approval itoke from some head in another department, written explanation justifying its use, bla bla bla. You are just better off using your own car.

And dare you scratch that company car, story tu mob awaits you.

4 Likes