[ATTACH=full]240539[/ATTACH][ATTACH=full]240540[/ATTACH]
Wapi hapa uncle?
parapet mlianza kujinunulia sabuni za whole month?
boss…umenunua box mzima ya bar soap
watu wa nyairofi mko bahati sana, 900/- ningenunua kaa 4 ya weekend
Zote
choppies was way cheaper kabla waanze kufilisika
sindio, kwani unadhani kugurumisha bajaj ni cheap
Hmm, I need to restock ammo for chemical warfare btw. Good timing.
Hapo Sasa. Mung’aro ya wiki kaput. Best news nimepata this week. Mizinga bunduki kwa wingi weekend loading.