Karao ronga

Anatoa pressure kwa merc ya MTU

[ATTACH=full]55704[/ATTACH]

Anatafuta exhibits hapo chini.

[ATTACH=full]55705[/ATTACH] [ATTACH=full]55706[/ATTACH]

Una uhakika sio Sokamsoga anaverify iko poa? Ama anacheki kama gurudumu ni ulimi…

Na hio picha ya mwisho sio Merc anagwara na key? That one looks clearer and believable kuliko hio ya kudeflate:D

Jamaa alikuwa anaambiwa atoke kwa gari but akakataa. So cop akaamua adeflate tire

Kumbe sio Mimi pekee nina kifaa hafifu cha kupiga mbicha

failure to obey lawful instruction by a uniformed police officer

Hii haikosi alitukana huyo karao

what makes cops with beemers special? naonanga watu huwaogopa

Huyo karao amechukua sheria mkononi

Malicious damage of private property. Achukuliwe hatua.

Hiyo si beemer, ni zile yamaha walipewa na gover

hao huwezi hepa they will chase you hadi kwenye fuel itaishia

Are you in kenya my friend??

Mimi huwa sina gari

Kuna wale wana Beemer hizi mpya walipewa hio kitu ni maneno mbaya inafanya hata ground ishake, @uwesmake na X6 hawesmake against hao watu

Cop is desperate kwa sababu hiyo jam ikifunguka hatampta huyo jamaa na ka125cc kake.

They usually huff and puff on the slightest incline, blowing blue smoke as their chassis sighs under the weight of the overfed rider.

Fixt

cops on bikes look overfed?