Hawa waarabu hawacheki na mtu. So jana nimeenda roundi and decided to buy cans kadhaa za beer ndo niende nikunywe polepole kwa keja kama nimetulia. I had my liquor license so no problem.
Nikanunua 12 pack yangu na kudunga ndani ya bagiko nikarusha kwa mgongo and decided to use the metro instead ya taxi. Nikaingia metro na nikafika stop yangu nikashuka. Kutoka kumbe can moja ilifinywa ikamwaga contents na sina habari. Kuenda kuchomoka nikasimamishwa na karao na maswali zikaanza. Kwanini nakunywa pombe kwa metro na najua am not allowed to be in possesion of alcohol kwa public transport plus majamaa wana fast na najua sifai kula mbele yao sahio wafilipino na wahindi na garagaria zetu za home ndo zimejaa hapo. Its hard kupata ma locals wakitembea ovyo ovyo being that ni Ramadhan.
Nikajaribu kujitetea ikashindikana ikabidi nimepelekwa karao. Hawa watu wanaeza kuwa washenzi wakiamua na juu ya chuki ile wako nayo na sisi mtu nyeuthi walinikazia maisha kishenzi.
First nikasomewa mashtaka in very poor english nikaitishwa license ya pombe nikatoa, ID ya emirati nikatoa. Nikasomewa katiba mahali inasema sifai kubeba pombe kwa public transport, nafaa kutumia taxi ama private car. Ilibidi nikubali makosa yangu story iishe but waka insist lazima nikae ndani till morning na nilipe fine pia ndo nisirudie.
While at the cell nikapatana na wakenya watatu walidandiwa wakiwa walevi and unruly na sahio wako huku illegaly bila any papers, wanafaa kupelekwa kortini next week before deportation. Nikajua tu hata mimi ntakuwa kwa hio list. Its only after kushtua ule mdosi wangu wa kuwasha nduthi kwa ofisi ndo things zilimove, a couple of telephone calls later, nikaambiwa am free to go but not before hao kumwaga pombe yangu. This people wako too mean na hawajali.
Jana nilikuwa nishaona JKIA kwa macho juu I was sure next thing itakuwa ni visa cancellation na kusukumwa nyumbani.
Pole kanono…Lakini ni msiba wa kujitakia, am sure ile fine ulilipa ingeatosha kulipa taxi yako na excort ya taxi zingine sita…na ubaki na pesa ya belly dancer.
waaa warabu jo!! ndio maana hao ushika moto uku wakiona watu wana kunywa pombe kwa metro na hakuna kitu wanaweza fanya juu hata si kwao lakini u can see the hasira in their eyes zile za kusema mseh ungekuwa kwetu ungejuta
Wanakazana tu ati haram. Alafu makarao huona mlevi aki stagger na tuvituko hivi wanabambika mbaya. Unachotwa unapelekwa stenje fuasta fuasta, ukienda kortini ni 1000 dirhams ama uende utulize kwa jela. Inabidi unakata maji kwa keja unalala ama klabu na ukitoka ni taxi straight kwa keja bila kelele.
Apa hii mtaa ukiwa mlevi ni makarao wanakupeleka mtaa…ama ukiwa mlevi excess wanakubeba ulale cell na kuna bed comfy btw…asubuhi unapewa coffee ukiambiwa uishie mtaa