Kapotty of goodness

Copied

“Ka-potty of goodness”
Thanks to excessive eating and drinking over the holidays, I now have it.
I hate that ka-thing haki. Mūrīma menz call it ‘gata ka mūrío’.
When I was muuuuch younger and extremely flat-tummy’d there was a guy who told me the way to check a woman’s ability to give birth is by that ka-stomach. That I wouldn’t conceive. I conceived at my skinniest haaaaaa! What a liar!
I am not a man so I can’t pretend to understand why anyone needs that ka-small potty on a woman to make a man’s sex life more interesting, lakini I hate it.
January come quick cos this thing gorra go. It gorra go!
In the meantime, wacha nikaongeze size

1 Like

Oh, that’s nature’s way of providing a little cushion of fat, so we don’t smack hard against the pelvic bone when the games heat up

3 Likes

Sasa umenikumbusha kesho kuna place tunafika, father in law ametu invite, his sons in law na family zao. Kesho saa saba tutakuwa tunafika, hapo kwanza tunaingia kwa gate tunapatana na bosco kama wanne, na by the way mbwa za ocha huwa hazisumbui wageni.

Tutakaribishwa na tukishatulia hivi, chai inafika, tujuliane hali na katika hizo harakati, njahe, mukimo, cabbage na nyama, soup na machapo zina land. Hizo chapo last time zili ni nice saidi. Zilikuwa soft vile inafaa.

In the meantime, wacha nitafute words za kikuyu, last time nili manage a few words, shemeji alilemewa kweli kweli, akaambiwa bibi yake amfunze kikuyu, shida hakuna yule anajua wao ni born town. Leo naongezea msamiati. @ChifuMbitika ile pdf ya kujifunza kikuyu ulinijenga ilinipiga chenga saidi. Nilijaribu ku watch hadi inoro programs lakini wapi. Sikumaliza two minutes. Nilijaribu kuongea na mumama fulani kwa soko pale ruai nikifanya shopping wakanicheka sana, wakaniambia nikona bidii ati nitafute bibi mkikuyu, nkawambia ndio huyu hapa na hajui pia. Sasa nitafanya aje…lazima nijue hizi lugha.

1 Like