Kapoti lied... akothee alipigwa kiraka na junguu

https://twitter.com/citizentvkenya/status/1712002126530887757

4 Likes

OP kwani you were brought pale marish, ama jeri? That phrasal; verb “kupigwa kiraka” ni ya huko :grin: :grin: :grin: Fafanua kuna elders wali growia Karen na runda :grinning:

2 Likes

buruklyne :rofl:

1 Like

:rofl: :rofl: Kwani Pakistani ni nyang’au?

Kupigwa kiraka ni kufanya nini mdau

1 Like

Kuna wale huitumia hio msemo to mean kukopesha/kukopeshwa doo. Hapa OP sijui amitumia kumanisha nini hasa

1 Like

Kupigwa kiraka- to be conned/defrauded by someone. To be drawn into a fake deal

2 Likes