Kanamai

@Supu don Please update.
Naskia four bodaboda guys dead. Cars burned. What’s happening?

Whaat. Kind lady amka utuletee update

1 Like

Elder statesman Ongeza info

@ ES update us please, just incase kuna mambo yako jikoni.

waoh… sina habari yoyote as of now… let’s wait till morning…

1 Like

Seriously sweetie, wewe hulala saa ngapi?

Na wewe Omwami hulala saa ngapi, mimi napiga 36hrs Kitunguu inukie kwangu, sadness of being a guardian.

3 Likes

Inabidi, the mouths we have to feed.

I get you, naona usiku sacco itafanya tukamuliwe vakhasi.

1 Like

Wangu nimefunga na dawa ya Ukambani.

1 Like

masoja wawili consoling each other,hata sisi matycoon hatulalangi

1 Like

Kwangu kwa mansion watchman ndiye halali. Wewe ni mbirionea wa wapi?

1 Like

wewe kwanza nyamaza,ulienda kutuaibisha pwani,ati unaitisha biriani halafu unabeba kuku 2 na ugali 3 kwa paperbag

11 Likes

Niliwaabisha weww ukiwa na nani?

kijiji mzima,halafu unaanika miguu imepakwa used oil

13 Likes

thought “husbands” know these things…

2 Likes

:D:D

the morning after… good morning…

1 Like

Aki si unakuwanga Na ufala umenifanya Michele kama mwenda wazimu

hmmmm?