Kamulu Quicksale Mansionate Bungalow Townhouse

kamulu home near Emmanuel children’s home at 10.5M…onlly [ATTACH=full]480011[/ATTACH][ATTACH=full]480012[/ATTACH][ATTACH=full]480013[/ATTACH]call 0785927022

Ningependa kuona ule mjinga anatoa 10m kununua nyumba kamulu. What exactly would he be seeking to achieve?

kamulu najua ploti za 250k, so nyumba ndio unanunua 10 million

Nyumba Iko na bedroom ngapi ,what is its salient features?
10 million shillings is alot for kamulu

Unajenga nyumba na 2m alafu unataka kuiuza 10m? That house should be 4m max if you factor in price of the land - mbona usitosheke na profit ya atleast 1.5m?

That house is nowhere near 10M. Niko na 4 Br with modern finishing ilinifyamba approximately 4.5M.

Mtawacha mchezo.
Kamulu kunafaa kuishi wanyama si watu. The place is dusty asf, jua ya huko inachoma sawasawa, kumalizia huko kukinyesha utaskia kulia walai, hiyo mchanga yao itasumbua gari sana. Lorry huwa zinakwama kwa bara bara banae.

Unanunua nyumba Kamulu 10M kwani huna akili?
Iyo nyumba maximum ni 4M. Haiezi pita hapo. Iyo ingine ni wizi

Inakaa better than single room ya mbwa @Micymas

It’s a good deal.

10 Million can is a mini factory ya Mabati Rolling plus nyumba ya 4Million

Hizi ngojeni, wacha recession itandike jamaa sawasawa mtazipata na bei ya jioni Mita mbili tatu.

Kuna church ya PCEA walijengea pastor wao mansion ya 22M. Nyumba nasikia max inafaa kuwa 7M.
Na akauza nyumba after atoke church.

It is neither sinful nor a criminal act to steal from thieves.