Mimi nilikuwa hiyo barabara juzi juzi Hakukuwa na PSV. Labda wakati wa Xmas rules ni tofauti
Zilibadilika when. I travel most weekends if not all back to nai and I use psvs
I meant at night. After midnight.
Nah, akina Transline, easy coach, guardian, Nyamira, modern coast etc huwa na night travel licence. Hata August nilitoka coast Usiku na one of the busses
They operate. Rule ni they have 2 drivers
So tuseme they are definitely fewer hizo usiku wa manane. What about lorry? Hizo for sure hazikuwa.
Turela ziko kwa barabara
Basi sasa hapo sijui. Let’ just agree that it’s less hectic to travel overnight.
mimi sioni difference save for the jam ukiingia Nairobi mchana. Turela headache iko if uko Mombasa road or hapa Mai mahiu kwa milima
Avoid Mai Mahiu kama una haraka. Hio ni njia ya kupigisha slay queen picha.
Ukipita kinoo unaingia pale Bata Limuru. by the time unafungua macho uko Nax.
Only thing I fear is highway robbery or a puncture.
Night travel is easier and less traffic.
I also prefer driving at night because chances za been caught over speeding are rare, and less traffic.
But i would advise one to drive at night if ur well familiar with the road and ur jalopy is in good condition,
Kwachu kasenge yako fresh, utaona kila kitu in slow motion. If driving at night use Busia-Kisumu route there’s less traffic on this road at night, kutoka Busia the potholes are crazy, pia chunga bumps some are unmarked. Pitia Kericho juu road ya Muhoroni ni mbaya kabisa. Kutoka corner ya Busitema kuna speed check, nilimangwa 500 hapo on Sunday night.
shida ya hizo Sugar belts unapata Tinga tinga imeharibika and the driver haweki warning to other motorists
Ukweli, i almost ran into one at Awasi, @madova chunga hizo gari za miwa, they’re invisible at night.
Thanks kaka.in kama zingine za hapa ug.
Hizo huwa kama suicide bombers.
Kasenge lazima nikwachu.
Wa busitema pia huwa mafala sana.
Asante for the heads up bro.
Bill ya kuban kasenge na kasujja haikupita? Kasenge makes one as high as ferk, tulikua tunaichukua hapo Kisenyi then tunaenda kudunda reggae DV8 kabla ibomolewe.
barabara mpaka kampala ni safi sana…nyweeeeeeeeeee…pitia malaba
Walileta tafash kidogo mzae akasema vijana waachwe na starehe zao.
Kisenyi bado maskani fiti Niko ma faite Fulani hapo.hehehee.
Malaba has always been my route.
Thanks pal.