Kameleon na Katumbo

Chameleon ni jubilee damu. Alijua kile alikuwa ameambiwa afanye. Mtamuona kwa press conference akijaribu kufinyilia kicheko. Ama ashindwe acheke bahati mbaya.
Naye jamaa wa multibet zile pesa zote aliiba kwa county zimeisha tu hivo.
Anywho, watu ni wajanja
Fujo wamekataa. Kenya TIBIM.
Nimebadilika sasa niko opposition. Tuangalie 2022.

Everyone is a political analyst. Then again ours is more of a soap opera so …