[ATTACH=full]416038[/ATTACH]
Hii ikiwa implemented kanairo, 70% of youth wa Umoja watakuwa jobless
Hawa ma sanse wa Malawi wote wanadunga Ile look ya ma inspector banae.
Haujawahi ingia mat ukiwa na haraka,then mtu mmoja mmoja aanze kushuka
They should decolonize.
[ATTACH=full]416053[/ATTACH]
[ATTACH=full]416054[/ATTACH]
Na mifuko mbili ya kubeba hongo vizuri.
[ATTACH=full]416055[/ATTACH]
" wapiga seti ".
Ghasia heshimuni mboka za wenyewe. I used to piga seti ya mbukinya pale ishakooo. Hio kazi ya kukaa ni ngumu sana.
Hii tabia ilikuwa common pale stage ya gari za kwetu ocha Nyeri. Unaingia gari ikiwa na MTU nane alafu ten minutes after kupanda mnajikuta wewe na kadere pekee.
:D:D:DKuna talker amewahi sema ati the biggest mistake mtu anaweza fanya akipiga seti ni kushikwa na usingizi… makanga na dere wanakasirika hata wanaweza kupatia kichapo cha mbwa:D:D:D
Why?
Pubs zitakosa biz :D:D:D
I suppose gari unaeza jaa ujipate Kenol on your way to Muranga
Nissan za nakuru ever hua zimebaki mtu moja gari ijae itoke. Nazo ukipanda, abiria mmoja anatoka na dirisha backbench.
unaskia kondaa anaitana mmoja mmoja gari iende, kumbe huyo mmoja ni wewe, the rest wamepiga seti
Hehehe