I will bet both of my nuts that kids like @Heke , @Ngau , @Kuna Vitu Sipendi na @Benn Dover dont know this game. We used to throw a stone on each box. Inua mguu moja juu then move the stone with one foot. Kicking it to the next box bila kuanguka. Uikimaliza all the boxes. Unasimama mbele ya the 1st box. Face away from the game unarusha mawe nyuma…whichever box itaangukia ni yako and no one can step on it. Fun game indeed. Wazee hukumbuka.
Na ile game ya Simbi…
Na ile game ya ku peel soda bottle tops…mnapuliza na mdomo kuzi turn over. Zenye zina turn upside down ni zako.
Back then kulikuwa na games za hizo bottle top peels…ukipata picha tatu zinafanana unapeleka kwa local distributor unashinda either soda, radio ya red ya coca cola ya majira, ama ball…
Alafu ile bowling ya peasants. Mzae ameanika mawe ya radio kwa jua ndio ipate power ya kusikiza news jioni akirudi. Anapata ndio mnachezea bowling. Mnazaipanga on two sides…then use one kubomoa the small line ya battery hazi ziishe zote. Ngori ilikuwa kuangusha kamoja kenya kamebaki. Ile vita unakanyangwa na mzae wacha tu
Then kuna ile game ya ball ya makaratasi. Kulikuwanga na pro wa kushona hiyo kitu bana…jamaa akibokea anabeba ball jioni anaharibu game bana. Ama asipotokea weekend na ball inakuwa swara. Sasa kulikuwa na game ya One touch or two touch ya kutoana kwa goal post.
Then chobo ua… .:D:D:D:D hata sitaongelea sana hii game. Fossils know the rules…afew guys walilimwa mateke za tumbo hadi unashindwa kupumua.
Nao madem walikuwa na ball yao ya socks ilikuwa inaitwa [COLOR=rgb(184, 49, 47)]mbanya.or kati…na ile ya rounda…ya kuzunguka uki count.
Na ile game ya nyukiiii tarararara…tag of war manenoz.
Hii mchezo naifahamu vizuri, but I never played it, ilikuwa mchezo ya wasichana, Mimi mchezo yangu ilikuwa mpira ya makaratasi…kusema kweli, kama ulicheza hii @MTINGIZA KITANDA!!! Ulianza kusimp Kitambo Sana…
No wonder life inawachenga mlirusha vitu sasa nazirusha SJ mashimo hazina mwisho Huku mmkaiepuka majumu if you played such a game as a boy nyahunyo kadhaa unaHitaji… Some of you turned gay mkiwa watoi
Real boys ride goat to become one in future
After your tinder whore kukuachia bedsitter najua ulitafuta makaa ukachora hii game kwa floor and played the whole night…
This made me kujifunza kutengeneza hiyo ball.yenye unaeka nylon papers ilikuwa soft na ina last.lakini hiyo game ilikuwa na rectangle mbili za kuanzia sio tatu.na ilikuwa inachezwa na wasichana.kama ulicheza hii wewe ni ama Wacha tu.ION niko club Alberto’s njia ya eld kitale club ni safi Haina sumbua lakini hakuna lanye ndaierections will be highly appreciated
Nilicheza hizo games zote na hiyo diagram was more like this.
Chobo ua ilikua murder case. But I took a liking to driving this plant. Hawa vijana walizaliwa Nairobi hawatambui hii.
:D:D:DAsante mkuu…malisaa iyo nyangau kabisa
alafu kuna nugu ingine ilikua inashona ball poa alafu anaweka mawe ndani wacha tu
chobo ua some of us could sprint faster than bolt wakicheza hii game
Haha hii pia tulikuwa tunanyonya hiyo juice ilikuwa hapo then tunaendesha these stuff kama gari
Hiyo game kuna wasee hawakuwa wanacheza. Wako nje ya field lakini wacha jamaa aingizwe chobo…hadi audience inaingia kwa kiwanja kuchapa jamaa bana.
Playing cards with cutouts from maziwa ya nyayo. Unaenda asubuhi with 5 cards(cutouts) jioni unarudi na a full deck, feeling like you could buy the whole village
Nani anakumbuka 3 sticks? Jump 3 times…I think…over 3 sticks and the distance between these sticks is increased gradually. We had really talented kids who would have done well in long jumps if nurtured well
Ilikuwa inaitwa kuruka ngerua? Inakaa “H”. Ukiangusha the horizontal stick ume fail
@ChifuMbitika alipenda game inaitwa "kati’ sana wakiwa na @Micymas
Ile ya kurusha ball inapita katikati ya miguu:D
Hii nilicheza.