Kama unahitaji laini ya wakala kwa jina lako nitafute uweze kupata kwa muda mfupi.

Napatikana Ubungo Dar es Salaam.
Njoo ujipatie laini ya wakala(Airtelmoney) kwa jina lako.
Bei ni Tsh120,000
Malipo ni baada ya kupata laini.
Nitafute kwa namba 0655744410/0755744410
Note:Laini unapata baada ya siku mbili tu.

Shilingi ngapi?

Malizia bei
Au bure

Mbona haujaweka bei…!?
Jamani ebu tujifunze kufanya mambo/matangazo kwa umakini, maana mnaweza mkatutia aibu ilhali huku tupo ugenini.

Bei mkuu

Au ndo zile za TUMA KWENYE NAMBA HII?

Tsh120,000

Tsh120,000

Tsh120,000

Tsh120,000

Umeambiwa unapewa mali ndio unalipia,hayo mengine ni yako,mimi sipo huko unakowazia wewe.
Mimi ukinipigia napokea na tunaonana.
Bei ni Tsh120,000

Mkuu embu nipe security ya hizo line maana kule voda zimesajiliwa kwa jina lako je ikitokea nimenunua na nikaanza kuifanyia biashara na ikawa na mpunga wa kutosha halafu wewe ukienda voda kureport line yako imeibiwa waiblock na wakurudishie hela zako si nitapoteza pesa yangu ? Kina usalama gani wa kutosha kudhibiti pesa yangu ?

Soma vizuri nilichoandika.
Laini inasajiliwa kwa jina lako sio langu.

Hivi kupata hizo line za uwakala ni shida/ngumi sana eeh!?

mitandao mingine vip?

Sawa sawa

Unapata