If you know you know, make them happy whenever possible.
Doesn’t matter ni Waiter wa kibanda, bar or big hotel
Doesn’t matter ni Waiter wa kibanda, bar or big hotel
Ii ujinga ungepostia bonobo wenzako wa C- kwa family whatsapp group.
Meffi
Maid kwanza akuwe beshte yako…waiter anakupelekaga na rada. At one time waiter wa bar alinisave from some thugs, sai ningekuwa 6ft down… Aliniambia wewe toka nikama unaenda choo, wachana na izo chupa hapo…
Ukweli mtupu. I was once on holiday during summer time. Decided to eat my lunch at a popular busy place. Had ordered for well done pork chops Lakini was not happy with what the waiter delivered.
Anyway I told him, sio kwa ubaya but the boss who was passing by heard my complain.
Jamaa alitukanua and ordered to organize for a new plate.
I will just say that l spent that night in the toilet. Sijui waliweka nini kwa chakula yangu.
I can never complain about food. I consider it a loss and move on. Never know what a cook will do behind doors.
Ata sisi atuharakishi bibi zetu sana waneza maliza sisi. Tunauma tukipulizia
Kama ni waitress itisha number udinyane
Kama food ni mbaya inarudishwa aii, lakini siezi mtusi but siezi kula kitu mbaya.
Mehn!! Umesema hivo nika kumbuka kuna baze nilikuwa naenda kula kuku choma na goat meat, huwa na kachumbari unique imepitia blender.. niliuliza nini huwa wanaweka wakanisho ni kitunguu, nyanya na pilipili.. nka show wife ajaribu pia.. haikutoka hivo… nka try ikakataa. nkaanza kushuku suppose wanafanya ile upuzi ya kuweka masuruali na periods.. bado sijakanyanga hapo tena..
Wacha ikae.. kwa sasa.
Hapa nje utakulishwa tasty rubbish
Kama Una akili usichochee watu kuchoma Mali ya wengine
Ongeza dhania. Kwa iyo blend. Nimeishi kutaka kujua recipe ya iyo salad ya sonford pia
Kuna herbs wanaweka.. kama the secret ingredient. Sio dhania, I’ve tried that.