Leo ndugu zangu inatarajiwa mwandamo wa mwezi so kama umeiona au kucki jamaa yako naomba tujuzane kupitia hii platform
Huku Dar es salaam Bado haujaonekana
Hili jukwaa la siasa
Maswali gani haya?
Huku Geita, Tanzania umeonekana.
Mwezi umeonekana JF ya pande hii ya ke. JF ya pande ya Tz bado mwezi haujaonekana wamefunga bado.
Sheikh Mkuu ameconfirm kuonekana kwa mwezi thru itv
kesho skukuu
Umeonekana,leo sikukuu…
Mapema tu