Kama huna gari mjini rudi kijijini

Hi,

Leo tuambiane tu ukweli…mjini bwana ili ufanye mambo yako kwa urahisi lazima uwe na ndinga lako.

Sasa kama wewe unajiita Boss kutwa kuita bajaj ha ha haa…rudi kijijini.

Unakuta braza men mzima limeshika chuma ya daladala simu ya milioni na ushee…haha haaa…rudi kijijini.

Dada duu mzima…pochi ya LV, Gucci alafu unapanda boda…haha haaa…rudi kijijini

Viatu virefu huna gari dada nasema hiviii ha ha haaa rudi kijijini…

Doncute

Unaweza ukama na gari lakini hauna pa kulala ahah rudi kijijini

Kama una gari lakini umepanga ahah rudi kijijini.

Una gari lakini ni ya demu wako au shuga mamy wako ahaha rudi kijijini.

Una gari mafuta ya kudundia ahaha rudi kijijini.

Ha ha haaa…rudi kijijini

Haha haha rudi kijijini wewe mwenye gari lakini bdo umepanga.

Watu wanasifika kwa nyumba zao wenye, siyo gari, hahaha rudi gorge bush

Kwa foleni hii gari la nini hahaha rudi kijijini.

Kuna watu wakiwa na matofali mia mbili yanawatosha kujenga nyumba ya kulala na wengine matofali hayo wala hayatoshi kujengea mnara wa tangi la maji.
Follow your dreams…not what others does.

Unaweza ukawa na gari na nyumb lakin huna pesa mana umerith.

hahaaa kama una gari na nyumba ila hela ya kula ni ya kuunga rudi kijijini, utaishia kuagizia mahnd barabaran huku ukiwa kweny gar umetia kishoka ukijitia n ya hamu, asa unajiuliza hamu gan hio kula mahind na jua kali vile posta na istoshe n hamu gan hio mwez mzima haikat.

Ukiwa na nyumba lazma uitwe mwanaume kama mwanamke tutamuita jike dume ahah(natania lakni inafaa)

Lakini gari kwa foleni ili halafu umepanga ni udunya tuu

Ha ha haaa…

KUNA BABA MWENYE NYUMBA,HAKUNA BABA MWENYE GARI …rudi kijijini

Kuna Baba mwenye Nyumba na Gari. Huyu harudi kijijini

Wengine wana nyumba nzuri na kubwa tu vijijini kwao, mjini wanaongeza kipato tu so kupanga ni lazima. Harudi mtu kijijni

hahaa ngachoka!

naona mnatukosea heshima sisi wa kijijini, tafadhari bakini hukohuko mjini mwendelee kupanda daladala kama mbuzi wanopelekwa mnadani :mad:. kijijini tuna enjoy space na time

huu muandiko ni wa naniiii huu hebu rudisha jina lako lilelile bana

Kwa hiyo gari ndio maisha?

Nun

Wa niniliu eee…bado kidogo unapatia

Ndio naingia zangu kijijini mida hii…nianze rasmi maisha mapya hapa village

Ukae huko huko mkuu…mjini heshima gari…nyumba hata kobe anayo

ndio ndio sirud…kwanza mjini oxygen yakugombania