Kalonzo ana shida kubwa

Watu hawakupendi, hawakutaki, hawakutambui, wanakufanyisha interview, wanakunyima nafasi ya kuongea kwa state funeral, na bado unaenda kujipendekeza kwao, huchoki?

Kalonzo is the 6th.

Kevin James Kingofqueens GIF by TV Land

7 Likes

Ni wewe tu humtaki. Kenya imesema yes ti Kalonzo.

Raundi hii hautatutupisha mbao kama ulivyofanya na Ruto. Tulisha ku mark… hatukufuati kabisa

3 Likes

Kalonzo was almost the only one who knew how to behave at that event. He said the machache everyone promises to say and left. No rhetoric or stupid statements, just normal kuomboleza na familia and taking a seat. He is the only one who read the room and knew how to act.

7 Likes

Kalonzo mwenyewe akiulizwa anasemaje?

1 Like

Amesema ni yeye tu anaweza ongoza nchi vile inafaa kwa sasa

1 Like

akiacha kujidharau atakuwa president,

1 Like

Roho safi. Kalonzo haskiki huku mtaani. Itakuwa a hard sell in ruralwestern and nyanza and times running out for a stab at 2027. Akona kazi.
Halafu huku Luo Land kila mtu anasema ata support Ruto akitupatia the DEPUTY PRESIDENT SEAT. Bila hio hata asikuje. Over to you Wahesh. Mnitupie ka kitu pris.

Hajidharau… he’s ready, he’s been ready, he once vied for that top seat in 1997. Wakenya wakamuangusha… sahi anapima rada tu.

Na daktari kazungu anamsumbua na masimu na ma text za “I want you, I need you by my side”..na mapicha za mathao kwa meza. Hii mutu atatuonyesha wonders.. ati hadi anamuita my dear. Mungu wangu!!

Anadhania muyamaa ni slay queen. Kazungu ni mtu baldfakin sana. NDIO MAANA MUYAMAA ALICHEKA ALIPO POKEA messages zake na kumuita “Ngite”

Na by the way sani wewe ni mukamba but so against kalonji’s presidency.. hehe ni jirani yenu pale kathozweni eh! Wivu ya wakamba tunaijua

2 Likes

Hizi Bondo visits zita isha when? Meffi

Asi, watulendio nikyau? You jumped ship?

Wewe ndio hujafika pale elder.. tunakungojea, kuja wakilisha calabash

Watermeron, huyu aki mimi nasemaga ukishakufa siezi enda kujipendekeza kwako. When dead we are done ata matanga sometimes siezi kuja

1 Like

Ni wewe pekee humtaki, humpendi, humpei nafasi, humtambui, sisi yote Kalonzo the sixth

1 Like

Kalonzo ni SIMP

1 Like

So Intelligent Man for Presidency you mean :green_emoji:

Hiyo haoni ata wewe unajua ivo

1 Like

sasa shida ni millions ya wakenya wanampenda, wako ready kumpigia kura, yet yeye haoni kama anatosha. yeye ni mtu weak, kiumbe dhaifu. mko ready kusimama na yeye hadi mwisho, kumbe yeye hayuko ready kuenda hadi mwisho.