Wuueh, kuna frikan inakuwanga na break up lines moooto! Yaani unapata ngeus amejichocha anaenda kwa chali yake, shaving hivi, anang’ara kathong, anajipiga marashi anajua leo anaenda kugawa mpaka mashamba.Akifika kule anarombosa mwanaume, kugeuzwa mastyle zote. Ninja ikishamwaga unaskia imemwambia, “Si mwenye atakuoa atakuwa na bahati.” Life ni khaaard!
17 Likes
:D:D:D
1 Like
Hehehe. Cold , that cold
1 Like
Like a baus! Usipatiane hopes. :D:D
2 Likes
ulikuwa wapi ukisikia hivyo? au ni wewe ulisema? leta heka yote how you deflated the girl’s esteem balloon…
1 Like
:D:D cold nigga
2 Likes
Dating doesn’t necessarily end up in marriage.
2 Likes
Your heart is an icebox!