Nani ako anigawiye joto.hii baridi
@Atwoli
Nyi mnahisi kajoto na mimi hapa naumia na joto hata siwezi lala. I hate summer nights… Kulala ni Shida juu ya joto
Kwani wewe mzito wa aina gani huwezi afford nyumba iko na aircon ama unalala kwa tent.
Meffi!
Tell me about it. I work nights,it goes without saying that I sleep in the day time, AC lazima.
Problem is my off days, I have a 7 month old, who seems to be affected by the AC. At times it gets really uncomfortable.
Nina ka fan lakini nikiweka ON for a long time ntakuwa na blocked nose plus headache.
Pia mimi nimelala mchana…was free today bt need to wake up very early kesho sorry today
Peasant problems
#plebs (whatever that means)
Kunywa pombe ulewe ulale.
chemsha maji ka ile ya kutoa kuku feathers alafu uKae ndani
Cc @luoamerican
:D:D ATA NIKIJIFICHA UNANIONA.
Pea huyo NV kiti @bjurmann
Hii village ni ya birrionaires na trillionaires watu wakona Temperature controls kwa nyumba,jaccuzzi na momo yellow yellow.
Nani ako anigawiye joto.hii baridi
cc @Female Perspective
next question please
Omera iko na mtoto:eek:…Your tity Tuesdays membership is no longer valid
Iko nene