Kaeni macho..

Friday kama hii madem huwa wako zile za mchele ifanye wira[ATTACH=full]17029[/ATTACH]

1 Like

Thanks bro.

he he…kwani huyo mechanic alikuwa ame-repair GK?

Wazi

Mimi uchukia maboy ujichocha kama hawa…don’t be fooled dude knows exactly what he is doing. Anapanua wollenje ndio manzi aone ako na pesa

3 Likes

Si ndiyo! any means to get to Rome…

3 Likes

Angekuwa na maboyz pekee hio wallet ingefungulia ikiwa chini ya meza

1 Like

I have been in pubs with more than 100k in my pockets and never lost even a 100 bob. If you don’t floss, no one knows you have it.

2 Likes

Buda lakini 100k ndani ya pub hio nikucheza Russian roulette…mm ile most nimeingia nayo pub ni 12k.and to speak ukweli pombe haikubamba juu unawasiwasi ukilewa unaweza ji anika alafu team mchele wakukute. Afadhali mtu acheze game ya ATM…ukisota unaenda kuongea na ukuta

Hiyo mzae watueka juu tu… Huezi kunywa unless you are talking about kwa atm card. Uko na wasi wasi kila time

kwani chokosh huwa unakunywa kwa tuvilabu hivi hivi?

Why not load the money in your bank/m-pesa account, then pay using cashless transactions

Wengine wetu ukunywa backstreet kwenye akuna mpesa transactions

Am talking the truth, am daring like that especially when I have taken quite some beers. The money was in an inside zipped jacket pocket, I would leave the jacket on my seat, go to the loos and come back and nothing happened, problem is when you start acting suspicious.

Haa pesa mi hubeba. Especially when an tipsy alafu naenda nagongagonga mabutton za atm kiupuziupuzi inatoa maximum.

wa

wacha hivo ndani ya mfuko tena ya jeans

Jinga sana! Unaona watu hapa wamejifunga mashuka na kubeba mathiokore?

wacha m-say ajichoche…