KAE Toyota Corolla ya Black

Hii kagari inasonga banae…unapitwa hadi unajiona ni kama umesimama…huyo jamaa hashikiki banae…the owner must be a talker…huwa naiona western bypass.

That must be @Karoga yeye ndio huwa na gari mzee hii kijiji mzima, hapo ilibidi akimbiye kabla izime.

I story ya kuweka gari mze engine mpya na kuzi pimp inafanya mechs waivishe kitunguu mbaya

Hiyo kagari inasumbua wanaume sana…

…by the way engine ya gari kama hio ex Japan ni 25k…Kuna time nimefika industrial area kusaka engine…bei iko chini for example ya mitsubishi gallant, premio, subaru forester zilikuwa zinachezea 65-80k engine swafi. Ya passo ilikuwa 35k…

True Kuna mat kau box ilinipita thika road ni kama nimesimama…if you understand story za box the earliest ni kb kitu…kuulizia ilibaiwa na corp Ikawekwa engine ya kitu 300k ya Toyota Kenya…I biz imefanya ma mech wanujishe kitunguu…bonobos love those mat boxes…so wanabiz wanatafuta body imekuwa kwa accident and such wanaifanya repair Wana wekelea engine mpya ya Toyota Kenya …ama izi zingine zinakuja zikiwa za petrol they remove the whole petrol engine wanawekelea a diesel 3kd engine mpya gari inakuwa manual…very lucrative biz in the long run

Wale wana nukisha otunguu ni wale wanauza hizo engines. Mechanic kuwekelea engine ni thao tatu ikienda sana. Na si kila siku. Wengine wana kulia ni wale wana zi pimp unapata ka subaru yom ni 1995-2000 kamesukwa fiti kana vutia

Box ikiwekelewa engine ya 5l diesel ina fanya body izeeke haraka…not advisable

[ATTACH=full]442861[/ATTACH]

@Karoga Owns one special BMW E90 with a Toyota AE91 Engine mated to a Nissan JATCO 4-speed transmission. Pure Engineering fuckery.

KAE or KAG?

Not your ordinary AE91. It’s 3S-GTE swapped.
[ATTACH=full]442864[/ATTACH]

:D:D:Dbazu you know this ish…ukweli kabisa

:D:D:D

Waah na Niko na hio Nia though Kuna siku I came across a local box with a 5L engine kuulizia ni Kama ilitoka showroom hivyo

Body is very repairable…filler kwa wingi na ifanywe na omollo SI njoroge …kusema ukweli jaluo are the ish Kwa i story

Hio modification is less than four years old, besides in Japan hakunanga shortcuts, hio inafanywa pale grogon after realizing engine ya 7l is high maintainance na inadai turbo ya 75k (huwa inahaspoil haraka)…

Body ya box ni mbovu as it disintegrate quickly huwezi linganisha na ya 3l ama 5l nikama ya mark x. Hehe, okuyu wa najua tu kuuza spares the rest wachia luos.

:D:D:Dtruth

Kumbe wewe ndio mwenyewe…Mimi nilitii

Were you driving ama ulikuwa unakanyanga mguu? :D:D

Not mine.

The car is well known in certain circles. :wink: