Kadogo Economy Everywhere

In Kenya siku hizi kuna Blue Band ya 10 bob ya same with soaps, toothpastes. Sasa hata EU na US inflation is catching up with them.

[ATTACH=full]425154[/ATTACH]

Niliskia huko slums unaenda na toothbrush
Unafinyiwa toothpaste ya one bob Kwa kiosk banae

:D:D:D.
Sicheki ufukara but hio idea.

USA tangu zamani Hadi hewa ya tires unalipishwa. It is not free like here in Kenya. You insert Quarters compressor ina pump hewa

[ATTACH=full]425156[/ATTACH]
NIGA?

Donโ€™t trust blurry photos.

[ATTACH=full]425165[/ATTACH]

Mwenye shop ananukisha kitunguu mbaya sana. 5 bob x 100 pea size squeezes for the usual 100 to 150 bob pasteโ€ฆna saa hio Ni zile za kariobangi na China za unga ngano.

Umesahau wapi wale huenda na kikombe sana wekea sukari na kijiko kwa duka?

Mafuta ya kupika ya 10 bob na sukari kijiko moja ya 5

Life gets harder every day