kadoda jizee la 60s from jamiiforum is officially here looking for his kenyan friends in kenyatalk.

jizee lililokataa kuzeeka!

hakika sizeeki asilani

nimeishi na wakenya wa kada tofauti tofauti, wale mafukara na wale wenye kipato cha kati.

wale wa kipato cha kati sikuwahi ona wakizungumza sheng. si wao tu, hata watoto wao.

wale wakenya mafukara ndio angalau nimeshuhudia wakizungumza sheng. hudhani kwamba sheng ni lugha ya watu masikini wa kenya?

Karibu mzee kadoda11

nimekaribia

Waalike akina anneal, tusan, geza, mk, jaywatt na wengineo ili lile bato liendelee kama kawaida

Never thought you’d be able to tolerate Kenyatalk but here you are humbled and that’s why they say never burn bridges behind you.

hahahaha…i’m here to stay…i need your cooperation.

to

bila shaka wao wapo hapa mapema zaidi kuliko mimi.

Karibu sana kenyatalk @kadoda.

shukrani. asante kwa ukaribisho.

kadoda is it you???

yes evelyn. i’m the same kadoda11 from jamiiforum. happy to see you here.

Happy to see you too, naona umekuja kupambana teh

hapana dear, huku sijaja kupambana… nimekuja kulainisha viungo. mapambabo yalikuwa jf. huku sijaona wa kupimana naye ubavu. wakenya wenyewe hoja zao nyepesi nyepesi… hawataki mada za kupasuana vichwa.

ilifika wakati kule JF kabla hujajibu post ya mtu, lazima kwanza uzame google kutafuta reference na ujilidhishe ndio urudi kumjibu.

Inabidi kumshauri mod @The Tweet aanzishe jukwaa la africa mashariki ndani ya hii sub forum ili mapambano ya hoja uaendelee.

wazo zuri… ila sio siri huku ugenini kwangu bado sana,najihisi upweke.

hakika nyumbani kwenu ni nyumbami kwenu tu hata kama ni madongo kuinama.

sidhani kama hii kenyatalk itaweza kufikia hadhi ya jf.