Kabla nisahau

Game ya Jana ilikuwa muoto Wadau.
Timū Njegaa ilitoka 2 goals (both were own goals) down na kaburukenge kengine hapo.
Lakini we fought back and equalized with their golkipa making a couple of saves.
Tunakamua hizo ghaseer come Sunday.

Meanwhile Our noisy neighbours Machester City could lose upto 15 points or worse be stripped off all the trophies they have won since 2012 for violation of FFP Rules.

I would relish the handing over of the 2012 trophy which we were denied in the last minute by ghaseer Aguero.
#TBT

https://www.youtube.com/watch?v=p6plMB3UW7k

Timū Ni njegaa…

njegereee majamaa wa manutd walikua wanazunguka kwa uwanja sana wakingoja kikombe

Thii ukamie
Kaino type

CALCULATOR FC aka Manunited has the most deluded fans in sports . the only thing wanaeza fanyiwa nikunyaganywa points au kurlegatiwa on top of cash fines . TROPHYS WILL NEVER BE WITHDRAWN , so endeleeni kuota na calculator vile Arsenal itashindwa game kumi mushinde game kumi muchukue ligi. meanwhile PLASTIC CARABAO CUP Newcastle inawakamua bila lube bila casemiro .

okombe 8 year wait muongezee , next kikombe mutaona 2030 kama ile vision ya Kibaki

man @Use Less

Man United ni bure sana. Kikombe ni yetu arsenal especially after Man Silly loses those fifteen points

Hio news imewajenga sana, kikombe bila ku sweat. Sasa wacheni arsenal pia wanyakue kikombe. Ama namna gani?

:D:D:D man u fans are deluded ati calculator Fc. Ango unamalisa timu ni njegaa fans. Ukajua venye hata walali ni maombi tu.

I read somewhere it may take up to four years for the judges to decide.

Watu wa Arsenali wanafanya nini kwa hii thread?
Anyway najua mliumwa sana when we came back from 2 goals down.
Uncle angelala na fiatu

The Man City case will last 2 to 4 years, it’s not something that will be concluded quickly