Kaberengu, Webuye black spot

Hi place ni noma. Scary accidents always happens here. Hii ni ya jana usiku[ATTACH=full]177793[/ATTACH][ATTACH=full]177794[/ATTACH][ATTACH=full]177795[/ATTACH][ATTACH=full]177796[/ATTACH]

Io mteremko si mchezo… I almost died there someday

Shait. Hapo kuna mtu alikutwa akikula bibi ya wenyewe bedroom.

hizo Lorry za kuenda Malaba/Tororo hapo hujiwachilia kabisa

Shait.
Mutu anivunjie jikoni WD40 na cheese ziingie mchanga?

Umecheki @Meria Mata mahali? Rollcall mara io hio

alionekana kwa canter akibadilisha gear kwa mapaja ya Mutheu

Hope villagers are safe

Shenji types.

Those houses are unoccupied. The govt acquired the land around those areas to construct the kakamega interchange hapo mbele. I know relatives who became multi-millionaires hapo. Nowadays it is even better after the road was expanded and bumps cosntructed. Kitambo, those accidents used to happen on a daily basis

Kuna wakati vijana walikuwa wanamwaga omo kwa hio mteremuko lorry ikianguka wana-loot.

Hmm…kuna vile cheese na chieth zinakaribiana

hehehe si pesa ilimwagwa Half London hiyo hoteli ya Webuye kwa wingi baasi

No they married 2nd wife’s and frequently found themselves kwa den za busaa

Sadness

Truckers,their bosses,residents na serikal ndio wanajua hiyo maneno, you must be one of them

umekunyua turungi asubuhi?

Maziwa sukari ni poisonous

not good:D:D:D:D:D:D:D:D

Not good at oo!