Kaaeni RADA

NEMA have started imposing the ban on plastic bags. Be aware coz the government wameamua nyinyi mnaobeba paper bag ndio mtaclear Hizi madeni tuko na Nazi.[ATTACH=full]159503[/ATTACH]

it’s for our own good,#resist polythene paper bags

By the way I have noted uchafu imepungua

Umekua wapi tangu jana omwami?

yeye ni bibi yako

Somewhere nikikata[ATTACH=full]159516[/ATTACH]

Very true…and blockage of drainage systems too. I’m sure this time, we’ll not have drainage problems leading to floods when it rains.

@Ni talker,next @Mosa

Hii thread ilikua hapa.

Ofisa u have been given an opportunity to start to harass hard working citizens. Sasa its your turn to eat bribe.

Sasa ni muguka kwa bahasha tena.

Shikwa nayo ndio utajua unga ya sirikali hauwezi maliza

Plastic bottles na sugarcane waste bado ni shida area nyingi.

Halafu you want us to start hide and seek games?

Asante mkubwa ndio nataka kufika 254

But sugarcane decomposes naturally

Yeah but that doesn’t mean the waste should be thrown around carelessly.

We need to be responsible si kila saa kusema city council are not cleaning our cities and we are the one that litters allover

Wanafaa kuwa serious kushika watu wanadumo waste ovyo ovyo such that ukitaka kukula io miwa yako unabebea kamfuko or unaenda kukula kwa hoteli.

Fixed

:smiley: