K-Talk: Rio Olympics Team. Squad 1..

Hio mbuzi ndio imenitoa machozi.master wong anakibarua

hehe

Pweza hunting team A…

Ngai!!!

Mbuzi iko na attitude kuruka. Haijui soupamarket iko hapo nyuma.

hehehehe, sambaza ile kitu wa vuta. this is too much

Hii soupamarket nafikiria @Ruffneck ndiye alicoin.
:D:D:D

hehehehe, M. V MEFFI, priceless!

Hii yake ikapewa mtu kaa @purr anachizi papo hapo.

I said it before… Someone peed on my weed…

Not someone but something.

must have been a dog maanake hiki ni kichaa cha mbwa.
crazy funny.
utafanya watu wafutwe job na wengine mabibi wahepe.

hehehehe boss unaeza chora

MV MEFFI…waaaaaa nice bro.

Hopefully you’ve turned or will turn this talent into stacks of cash, vile Biko Zulu did with his blog.

Ubarikiwe. This is pure talent. You give us laughs kila siku.

Mbona shepart haiendi momolympics?

Kuna list 2. Watu wanaanikwa…

Thanks bro.

Hio ya Lou na jay inaniua in btw heshimu elders kama mimi.

Kuwakisha Posho Mill contest team A.
This one is very tightly contested. Wacha tuone vile heats zitaenda…
:D:D

@vuja de, si unafanana na Nameless? Mko related, nini?