K TALK LINGO

Pale Twitter Iyo story ya mwende people are impressed by the words rungu washing
@admin time to trademark!

3 Likes

Hadi pale “x” nimeona lugha ya ktalk ikitembea sana. Ama hao users ni elders wa hapa

4 Likes

Wapi rink tuokote gels huko tweeter

Kuna jamaa amecomment venye akitoka car wash huwa anadhani ameng’ara kumbe kuna kuosha rungu pia

1 Like

Ukisikia bei ni 150 ni show

And while you are at it …
Trademark those 2 Beauties on the Right …:grin::fire::revolving_hearts::revolving_hearts:

1 Like

Huyo amevaa cross husumbua ka shiet.Yeye ndio huzunguka ma rooms kuskiza kama mdinyano inaendelea.